IQNA

Kiongozi wa Hizbullah atahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran vitawasha moto mkubwa eneo zima

Kiongozi wa Hizbullah atahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran vitawasha moto mkubwa eneo zima

TEHRAN (IQNA) -Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran ni sawa na vita dhidi ya mhimili mzima wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kwa msingi huo amesisitiza kuwa: "Vita dhidi ya Iran vitawasha moto katika eneo lote ( Asia Magharibi)."
08:42 , 2019 Aug 17
Utawala wa Israel wawazuia wabunge wawili Marekani kuingia Palestina

Utawala wa Israel wawazuia wabunge wawili Marekani kuingia Palestina

TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umewapiga marufuku wabunge wawili wa chama cha cha Democrat nchini Marekani Rashida Tlaib na Ilhan Omar kuingia ardhi za Palestina.
12:50 , 2019 Aug 16
Ayatullah Araki ampigia simu Sheikh Zakzaky nchini India

Ayatullah Araki ampigia simu Sheikh Zakzaky nchini India

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amefanya mazungumzo ya simu na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim Zakzaky aliyepelekwa India kwa ajili ya matibabu.
19:38 , 2019 Aug 15
Watoto,vijana wengi Algeria wajisajili kushiriki darsa za Qur'ani

Watoto,vijana wengi Algeria wajisajili kushiriki darsa za Qur'ani

TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya vijana na watoto nchini Algeria wamejisajili kushiriki katika darsa za Qur'ani zinazofanyika katika misikiti na vituo vya Qur'ani katika mkowa wa Constantine kaskazini mashari mwa nchi hiyo.
15:14 , 2019 Aug 15
Kuna haja ya kusimama kidete kukabiliana na njama za Saudia, Imrati za kuigawanya Yemen

Kuna haja ya kusimama kidete kukabiliana na njama za Saudia, Imrati za kuigawanya Yemen

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Saudi Arabia na Imarati zinataka kuigawanya Yemen; na akasisitiza kwamba: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama hiyo na kuunga mkono Yemen moja, iliyoungana na yenye ardhi yake yote kamili.
13:14 , 2019 Aug 14
Idul Adha kote duniani

Idul Adha kote duniani

Idul Adha ni Kati ya sikukuu kubwa zaidi ya Waislamu duniani kote na uadhumishwa kwa muda wa siku moja hadi nne kwa kutegemea nchi. Katika siku kuu hii, Waislamu huvaa nguo zao bora zaidi na nadhifu, kisha hushiriki katika Sala ya Idul Adha na wenye uwezo huchinja na kujumuika na jamaa na marafiki katika sherehe hizo muhimu
13:32 , 2019 Aug 13
Sheikh Zakzaky na mkewe hatimaye waelekea India kupata matibabu

Sheikh Zakzaky na mkewe hatimaye waelekea India kupata matibabu

TEHRAN (IQNA) - Hatimaye Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria leo ameondoka Abuja na kuanza safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu.
10:54 , 2019 Aug 13
Madina, Mji wa Mtume SAW

Madina, Mji wa Mtume SAW

Mji wa Madina uko kaskazini mwa Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia kati kati mwa Najd na ni mji wenye hali ya hewa kavu na joto kali na pia baridi kali wakati wa msimu wa baridi. Jina la mji huo lilikuwa ni Yathrib kabla ya Hijra ya Mtume wa Uislamu na ulijulikana kama Madina al Nabii (Mji wa wa Nabii) baada ya kuwasili Mtume Muhammad SAW. Msikiti wa Mtume, Al-Masjid an-Nabawi, Msikiti wa Quba na Msikiti wa Qibalatian ni misikiti muhimu iliyo katika mji huo. Mji wa Madina ni kati ya mijiti mitakatifu kwa Waislamu na kabiru la Bwana wetu Mtume Muhammad SAWA liko katika , Al-Masjid an-Nabawi na hivyo eneo hilo ni kati ya maeneo matakatifu zaidi kwa Waislamu duniani.
13:00 , 2019 Aug 11
Rais Bashar al Assad wa Syria ashiriki katika Sala ya Idul Adha + PICHA

Rais Bashar al Assad wa Syria ashiriki katika Sala ya Idul Adha + PICHA

TEHRAN (IQNA) – Rais Bashar al Assad wa Syria leo asubuhi ameshiriki katika Sala ya Idul Adha iliyofanyika katika Msikiti wa al-Afram mjini Damascus.
12:36 , 2019 Aug 11
Muamala wa Karne utasambaratika kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama

Muamala wa Karne utasambaratika kwa hima na imani ya mrengo wa muqawama

TEHRAN (IQNA) – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa mataifa ya Waislamu kuungana kukabiliana na njama ya Marekani ya kile inachokitaja kuwa eti ni 'Muamala wa Karne' kuhusu kadhia ya Palestina.
12:05 , 2019 Aug 10
Treni ya Kasi kutoa huduma kwa Mahujaji mwaka huu

Treni ya Kasi kutoa huduma kwa Mahujaji mwaka huu

TEHRAN (IQNA) - Huduma ya treni ya mwendo kasi itaanza kutumika kwa mara ya kwanza mwaka huu katika Ibada ya Hija.
18:53 , 2019 Aug 09
Mamilioni ya Waislamu waanza Ibada ya Hija

Mamilioni ya Waislamu waanza Ibada ya Hija

TEHRAN (IQNA) - Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, al Kaaba leo wameelekea Mina kwa ajili ya kutekeleza ibada ya siku ya Tarwiya hiyo kesho tarehe 8 Dhilhaji katika eneo hilo tukufu.
18:25 , 2019 Aug 09
Vijana wasomi Wairani wanapaswa kuimarisha wigo wa elimu na teknolojia

Vijana wasomi Wairani wanapaswa kuimarisha wigo wa elimu na teknolojia

TEHRAN (IQNA) -Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Ustawi wa sayansi zenye faida kwa Iran ni jambo linalowezekana na ustawi huo unapaswa kuwa kwa msingi mtazamo wa kimapinduzi na fikra za Kiislamu."
09:08 , 2019 Aug 08
Wanigeria wamiminika mabarabarani kusherehekea kuachiwa huru kwa dhamana Sheikh Zakzaky

Wanigeria wamiminika mabarabarani kusherehekea kuachiwa huru kwa dhamana Sheikh Zakzaky

TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Nigeria wamemiminika mabarabarani na kusherehekea kwa nderemo na vifijo kutangazwa hukumu ya kuachiwa huru kwa dhamana kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky ili asafiri kuelekea nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.
09:12 , 2019 Aug 07
Mufti wa Quds aonya kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa

Mufti wa Quds aonya kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mohamed Ahmed Hossein Mufti Mkuu wa mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusiana na hujuma na uvamizi wa Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa.
09:05 , 2019 Aug 07
1