IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu

Iran imesimama kidete mbele ya Marekani kutokana na kufungamana na Qur'ani

TEHRAN (IQNA)- kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeendelea kusimama imara mbele ya dhulma za madola...

Binti Mtanzania ashika nafasi ya tatu Mashindano ya Qur'ani ya wanawake Iran

TEHRAN (IQNA)-Binti Mtanzania, Ashura Amani Lilanga, ameshika nafasi tatu katika Mashindano ya Tatu Kimataifa ya Qur’ani ya Wanawake katika Jamhuri ya...

Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran watangazwa

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Iran yamemalizika rasmi Jumatano kwa kutunukiwa zawadi washindi.

Washindi wa Mashindano ya Qur'ani ya Wanachuo Wazawadiwa

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya pili ya Kimataifa ya Qur'ani ya wanafunzi wa vyuo vya kidini wametangazwa katika sherehe iliyofanyika Jumapili.
Habari Maalumu
Mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi wa shule Denmark

Mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi wa shule Denmark

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya usomaji Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanafunzi wa shule yamefanyika katika mji mdogo wa Glostrup ulio karibu na mji mkuu wa...
20 Apr 2018, 12:39
TV ya Qur'ani ya Iran kurusha mubashara mashindano ya kimataifa ya Qur'ani

TV ya Qur'ani ya Iran kurusha mubashara mashindano ya kimataifa ya Qur'ani

TEHRAN (IQNA)- Kanali ya Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itarusha mubashara au moja kwa moja Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani...
19 Apr 2018, 12:02
CAIR: Trump Amechangia Kuongeza Chuki dhidi ya Uislamu Marekani

CAIR: Trump Amechangia Kuongeza Chuki dhidi ya Uislamu Marekani

TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limetangaza ripoti ambayo ina ushahidi unaoonyesha kuwa hatua ya utawala wa Rais...
18 Apr 2018, 16:04
Miji mitatu ya Iran kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani

Miji mitatu ya Iran kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani

TEHRAN (IQNA)-Mkuu wa Shirika la Wakfu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema miji mitatu nchini itakuwa mwenyeji wa mashindano kadhaa ya kimataifa ya...
17 Apr 2018, 12:17
Maandamano ya kumuunga mkono Sheikh Zakzaky Yafanyika nchi mbali mbali

Maandamano ya kumuunga mkono Sheikh Zakzaky Yafanyika nchi mbali mbali

TEHRAN (IQNA)-Wanaharakati katika maeneo mbali mbali duniani Jumapili wameshiriki katika maandamano ya kutangaza kufungamana kwao na Kiongozi wa Harakati...
16 Apr 2018, 14:24
Waislamu Hong Kong wazidi kuongezeka, wataka msikiti mpya

Waislamu Hong Kong wazidi kuongezeka, wataka msikiti mpya

TEHRAN (IQNA)-Jamii ya Waislamu inazidi kuongezeka huko Hong Kongo, eneo lenye mamlaka ya kujitawala nchini China, na kwa msingi huyo kumeanzishwa jitihada...
15 Apr 2018, 13:00
27 Rajab, Siku ya Kubaathiwa Mtume Muhammad SAW

27 Rajab, Siku ya Kubaathiwa Mtume Muhammad SAW

TEHRAN (IQNA)- Leo, tarehe 27 Rajab ndiyo siku aliyobaathiwa na kupewa Utume Muhammad Al Mustafa SAW kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu katika njia iliyonyooka...
14 Apr 2018, 11:24
Jeshi la Syria laukomboa mji wa Douma na eneo zima la Ghouta Mashariki

Jeshi la Syria laukomboa mji wa Douma na eneo zima la Ghouta Mashariki

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Syria limeukomboa mji wa Douma; mji wa mwisho huko Ghouta ya Mashariki kuwa chini ya udhibiti wa magaidi wanaopata himaya ya kigeni
13 Apr 2018, 13:45
Mashindano ya Qur'ani ya Kuwait Yaanza

Mashindano ya Qur'ani ya Kuwait Yaanza

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Kuwait, maarufu kama Zawadi ya Kuwait, yalianza Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo.
12 Apr 2018, 10:13
Wanaharakati waandamana Nigeria wakitaka serikali imuachilie Sheikh Zakzaky

Wanaharakati waandamana Nigeria wakitaka serikali imuachilie Sheikh Zakzaky

TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa Akademia katika Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Jumanne wameandamana wakitaka serikali imiachilie kiongozi wao aliye kizuzizini...
11 Apr 2018, 21:09
Msikiti wa Kwanza Kufunguliwa Hebrides, Scotland, Kanisa Lapinga

Msikiti wa Kwanza Kufunguliwa Hebrides, Scotland, Kanisa Lapinga

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kwanza kujengwa katika eneo la Outer Hebrides huko Scotland nchini Uingereza utafunguliwa katika kipindi cha miezi michahce ijayo...
10 Apr 2018, 11:43
Chuo Kikuu cha Qur'ani Kujengwa Malaysia

Chuo Kikuu cha Qur'ani Kujengwa Malaysia

TEHRAN (IQNA)-Chama cha Barisan Nasional nchini Malaysia kimetangaza mpango wa kujenga Chuo Kikuu cha Qur'ani nchini humo ambapo watakaohitimu hapo watakuwa...
09 Apr 2018, 15:29
Mchezo wa Video wa ‘Blue Whale’ ni Haramu katika Uislamu
Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri

Mchezo wa Video wa ‘Blue Whale’ ni Haramu katika Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri, ambayo hutoa muongozo wa Kiislamu nchini humo, imetangaza kuwa mchezo maarufu wa video wa ‘Blue Whale’...
08 Apr 2018, 13:01
Mwanamke Mwislamu Marekani adungwa kisu na mtu aliyekuwa akiutusi Uislamu

Mwanamke Mwislamu Marekani adungwa kisu na mtu aliyekuwa akiutusi Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Jimbo la Texas nchini Marekani imetangaza zawadi ya $5000 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kukamatwa mtu ambaye...
07 Apr 2018, 21:10
Nchi 83 Kushiriki Mashindano ya Qur'ani Nchini Iran

Nchi 83 Kushiriki Mashindano ya Qur'ani Nchini Iran

TEHRAN (IQNA)-Nchi 23 zimetangaza azma ya kushiriki katika Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baadaye mwezi...
06 Apr 2018, 19:06
Picha