BOJNOURD (IQNA) - Hamid Shakernejad , qari mashuhuri wa Iran, alikuwa msomaji wa heshima katika siku ya kwanza ya duru ya mwisho ya Mashindano ya 46 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3477978 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/02
TEHRAN (IQNA) – Visomo vya Aya za Surah Al-Balad vya maqarii wawili wa Iraqi na wengine wawili kutoka Iran na Misri vimeunganishwa hivi karibuni kwenye klipu.
Habari ID: 3477056 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/28
TEHRAN (IQNA) –Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran Ustadh Hamed Shakernejad alitembelea Ujerumani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 2019.
Habari ID: 3473923 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18