iqna

IQNA

marufuku
WASHINGTON, DC (IQNA) - Donald Trump aliuambia mkutano wa wafadhili wa Kiyahudi wa Republican siku ya Jumamosi kwamba atarejesha marufuku yake ya wasafiri kutoka nchi nyingi za Waislamu ikiwa atashinda tena urais mnamo 2024.
Habari ID: 3477806    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/29

TEHRAN (IQNA)-Waislamu Marekani wamelaani uamuzi wa Mahakama ya Kilele nchini humo kuunga mkono marufuku kuingia nchini humo wasafiri kutoka nchi tano za Waislamu huku wakisema uamuzi huo utawaathiri vibaya.
Habari ID: 3471575    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/28

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Saudi Arabia imewapiga marufuku mahujaji na wafanyaziara kupiga picha au kuchukua video kwa kutumia chombo chochote katika Misikiti Miwili Mitakatifu ya Kiislamu ya Makka na Madina.
Habari ID: 3471279    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/25

IQNA-Maelfu ya Wapalestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3470890    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/12

Serikali ya Bangladesh imeipiga marufuku televisheni ya satalaiti maarufu kama 'Peace TV' inayofungamana na mhubiri wa Kiwahhabi Zakir Naik kwa tuhuma za kuunga mkono misimamo mikali na ugaidi.
Habari ID: 3470446    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/11

Shirika la Kutoa Huduma za Satalaiti kwa Televisheni limelaaniwa kwa kuzima televisheni ya Al-Manar iliyokuwa ikirusha matangazo yako kupitia mitambo ya shirika hilo.
Habari ID: 3460128    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06

Taasisi ya juu zaidi ya Waislamu Nigeria, Jama'atu Nasril Islam, JNI, imetangaza kupinga vikali takwa la kupigwa marufuku hijabu nchini humo baada ya baadhi ya magaidi kutumia vazi hilo la stara la kufunika mabomu wanayosheheni mwilini.
Habari ID: 3328801    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16

Kundi moja la Waislamu wa China wameituhumu serikali ya nchi hiyo kuwa imeanzisha vita visivyo rasmi dhidi ya Waislamu na Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3322211    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/01

Serikali ya China imepiga marufuku wanafunzi, walimu na watumishi wa umma katika eneo la Xinjiang lenye Waislamu wengi kutekeleza ibada ya Saumu kwenye mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3315931    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/19