WASHINGTON, DC (IQNA) - Wanafunzi wa Kansas walipata msukumo katika hadithi za wanawake wa Kiislamu kwenye Chuo Kikuu cha Jimbo la Wichita wiki iliyopita.
Habari ID: 3477712 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/11
Ifahamu Qur'ani Tukufu/ 9
Qur'ani Tukufu Inatambulisha Surati Yusuf kama hadithi bora ambayo inatilia maanani sifa za mwongozo za hadithi , hii Hadithi inatuongoza kwenye ufahamu bora wa Qur'an Tukufu.
Habari ID: 3477189 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/25
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Nuruddin Attar, mfasiri na hafidh maarufu wa Qur’ani Tukufu nchini Syria ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 83.
Habari ID: 3473199 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/24
Mtume Muhammad SAW amesema: Waislamu wote ni ndugu na hakuna aliye bora zaidi ya mwingine ila katika Taqwa (Ucha Mungu). Kanz al-Ummal, Jildi 1, Uk 149. Nahjul Fasaha 3112
Habari ID: 3472209 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/11
Mtume Muhammad SAW amesema: Umoja ni chanzo cha rehema na mifarakano inasababisha adhabu. Kanz al Ummal Hadithi ya 20242
Habari ID: 3472027 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/01
Mtume Muhammad SAW anasema: “Pambeni idi zenu kwa (kutamka) Allahu Akbar. (Kanz al Ummal: Hadithi 24094)
Habari ID: 3471984 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/04
Imam Ali AS alisema: Pepo inapatikana kwa amali na wala si kwa kutamani. Ghurar Al-Hikam Wa Durar Al-Kalim Uk.350 Hadithi ya 4355
Habari ID: 3471437 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/21
TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Syarif Hidayatullah mjini Jakarta, Indonesia kimepanga kuandaa kongamano la kimataifa la Qur’ani na Hadithi baadaye mwaka huu.
Habari ID: 3471127 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/17
Habari ID: 3471014 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/10
IQNA: Kongamano la Pili la Kimataifa la "Elimu ya Kiislamu na Utafiti wa Qur'ani na Hadithi za Mtume SAW" limepangwa kufanyika mjini Mataram, Indonesia Machi 2017.
Habari ID: 3470762 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/26