TEHRAN (IQNA)-Katika kuendeleza ukatili dhidi ya Waislamu, wanajeshi wa Myanmar wamemkamata mtoto aliyekuwa amehifadhi Qur'ani na kisha kumuua katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3471317 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/20
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Mabuddha wenye misimamo mikali nchini Myanmar umewaua kwa umatu Waislamu karibu 3,000 huku taasisi zote za Umoja wa Mataifa za kuwafikishia misaada ya dharura Waislamu zikizuiwa.
Habari ID: 3471157 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/04