Sudan
IQNA - Nakala ya Qur'an Tukufu ilibakia salama baada ya moto kuteketeza gari nchini Sudan hivi karibuni.
Habari ID: 3478271 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/29
Jinai za Israel
BEIT LAHM (IQNA)- Kanisa moja la Palestina limeamua kuweka kunyesha magofu ya nyumba zilizobomolewa badala ya Mti wa Krismasi kama ilivyo ad ana kusema kuwa hakuna cha kusherehekea wakati huu utawala haramu wa Israel unapendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3477989 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05
Vita
TEHRAN (IQNA)- Mapigano kati ya wanajeshi wa Sudan yameingia wiki yake ya tatu ambapo hadi kufikia leo watu zaidi ya 578 wameuawa huku Umoja wa Mataifa ukionya kuwa nchi hiyo inasambaratika.
Habari ID: 3476936 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30
Vita vya Saudia dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA) – Ujumbe kutoka Oman uko katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, kufanya mazungumzo na wanachama wa ngazi za juu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah kuhusu kurefusha usitishaji vita unaosimamiwa na Umoja wa Mataifa nchini Yemen.
Habari ID: 3476286 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/22
Qur’ani Tukufu Inasemaje /34
TEHRAN (IQNA) – Katika aya nyingi za Qur’ani Tukufu Mwenyezi Mungu anawaonya wale wanaovuka mipaka na kuwa na mawazo yenye misimamo mikali, kama vile katika Aya ya 190 ya Sura Al-Baqarah: “Kwani Mwenyezi Mungu hawapendi waanzao uadui.”
Habari ID: 3476085 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14
Sira ya Mtume Muhammad
TEHRAN (IQNA) - Mapitio ya vita bu vya historia yanaonyesha kuwa vita vyote wakati wa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) vilikuwa vya kujihami au kujitetea na kwamba hakuanzisha vita yoyote.
Habari ID: 3476040 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05
Sura za Qur'ani/ 8
TEHRAN (IQNA)- Kuongezeka kwa makundi ya kigaidi duniani na matumizi mabaya ya Uislamu kumepelekea istilahi Jihadi ( vita vita katifu) kupachikwa maana isiyo sahihi na hivyo kunasibishwa na maneno kama vile kuchochea vita , ghasia na mauaji.
Habari ID: 3475385 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16
Kiongozi Muadhamu na Masuala ya Kimataifa
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha sababu za hali maalumu duniani sasa na kusema kusema katika hali ya sasa ya dunia, uendeshaji mambo umekuwa mgumu kwa nchi zote.
Habari ID: 3475295 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/25
TEHRAN (IQNA)- Vyombo vya habari vya Yemen vimetangaza kuwa ndege za ki vita za muungano vamizi wa Saudi Arabia vimeshambulia nyumba za raia katika mji wa Magharibi wa Hudaydah na jengo moja la mahabusu kaskazini ya mji wa Sa'ada.
Habari ID: 3474833 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21
TEHRAN (IQNA)- Ndege za ki vita za muungano vamizi wa Saudia zimedondosha mabomu katika wilaya ya Maqbanah mkoani Taiz nchini Yemen na kuua raia wasiopungua 16.
Habari ID: 3474638 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu Palestina (Hamas) imetangaza ushindi katika mapambano ya siku 10 dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umevamia Ukanda wa Ghaza na kuongeza kwamba waziri mkuu wa utawala huo Benjamni Netanyahu ameshindwa vibaya katika makabiliano hayo.
Habari ID: 3473928 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/20
Hadi sasa Wapalestina karibu 218, wakiwemo watoto 58, wameuawa shahidi katika hujuma mpya ya utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Ghaza huku wengine zaidi ya 1,235 wamejurhiwa.
Habari ID: 3473918 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17
TEHRAN (IQNA)- Tawi la kijeshi la Harakati ya Mapamabno ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) limevurumisha mamia ya makombora katika miji ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kusababisha hasara kubwa.
Habari ID: 3473909 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/14
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema muungano vamizi wa kijeshi umebomoa misikiti 1400 katika mashambulizi yake maeneo mbali mbali nchini Yemen.
Habari ID: 3473762 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/26
TEHRAN (IQNA) – Ndege za ki vita zisizo na rubani (drone) za Jeshi la Yemen zimelenga maeneo muhimu ya kijeshi na kibiashara nchini Saudi Arabia katika fremu ya oparesheni za ulipizaji kisasi.
Habari ID: 3473704 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/05
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya vikali Marekani kwa kupiga ngoma ya vita na kusisitiza kuwa, taifa hili lipo tayari kujilinda.
Habari ID: 3473512 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/01
TEHRAN (IQNA) – Yemen ni sehemu hatari zaidi kwa watoto duniani, amesema Henrietta Fore Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF).
Habari ID: 3473453 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13
TEHRAN (IQNA) - Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa indhari kuhusu uwezekano wa mamilioni ya watu wa Yemen kupoteza maisha kutokana na njaa huku Saudi Arabia ikiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo masikini zaidi ya Kiarabu.
Habari ID: 3473420 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04
TEHRAN (IQNA) - Wakuu wa Yemen wametoa tahadhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu inayozidi kuwa mbaya nchini humo kutokana na vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu ambapo 'mtoto mmoja wa Yemen hupoteza maisha kila dakika 10'.
Habari ID: 3473416 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02
TEHRAN (IQNA) - Operesheni ya kubadilisha mateka wa vita baina ya harakati ya Ansarullah ya Yemen na muungano vamizi wa Saudi Arabia imeanza kutekelezwa leo Alkhamisi kwa kuachiwa huru mamia ya mateka wa pande hizo mbili.
Habari ID: 3473261 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/15