Habari Maalumu
IQNA-Baada ya mkasa wa Bondi uliouunganisha taifa katika huzuni, Waislamu wengi wa Australia wanakabiliwa na hali ya kutisha sambamba: kuongezeka kwa matusi...
24 Dec 2025, 19:22
Istighfar katika Qur’ani Tukufu/ 6
IQNA-Istighfar, yaani kuomba msamaha kwa Allah, ni ibada yenye athari nyingi katika maisha ya Mwislamu. Lengo kuu na la moja kwa moja la mwenye kuomba...
23 Dec 2025, 16:47
IQNA-Nahj al-Balagha, sambamba na Qur’ani Tukufu, litakuwa kiini cha Maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Tehran.
23 Dec 2025, 16:36
IQNA – Baada ya mafanikio ya awamu zilizopita, Wizara ya Awqaf ya Qatar imezindua toleo la mwaka 2025–2026 la mpango wa “Asaneed” kwa lengo la kuboresha...
23 Dec 2025, 16:27
IQNA – Kugundua kuwa mtoto wako amekutana na hotuba ya chuki dhidi ya Uislamu mtandaoni ni jambo linaloweza kutisha.
23 Dec 2025, 16:19
IQNA – Msikiti wa Fakhrul-Muslimin, maarufu kama “Fakhari ya Waislamu”, ulioko nchini Urusi, unavutia idadi kubwa ya wageni kutokana na usanifu wake wa...
23 Dec 2025, 16:05
IQNA – Mkuu wa Baraza la Maendeleo ya Utamaduni wa Qur’ani Tukufu nchini Iran, Hujjatul Islam Mohammad Qomi, amepongeza mwitikio wa nguvu wa wananchi wa...
22 Dec 2025, 16:57
IQNA- Mufti Mkuu wa Uganda, Sheikh Shaban Ramadhan Mubajje, amepongeza juhudi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuimarisha mshikamano wa Waislamu.
22 Dec 2025, 15:02
IQNA – Tukio la hivi karibuni la kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu katika Msikiti Mkuu wa Stockholm nchini Uswidi si jambo la pekee, bali ni sehemu ya mfululizo...
22 Dec 2025, 16:46
IQNA – Athari ya Qur’an Tukufu haijabakia kwa washairi Waarabu na Waislamu pekee, bali imevuka mipaka na kuwagusa pia washairi na waandishi mashuhuri wa...
22 Dec 2025, 16:36
IQNA- Wakazi wa kijiji cha Tabloha, jimbo la Menoufia, wamemzawadia gari kijana mwenye ulemavu wa machi Misri, Abdul Rahman Mahdi, baada ya kushinda nafasi...
22 Dec 2025, 16:22
IQNA- Utawala haramu wa Israel unaendelea kulaaniwa vikali baada ya kushambulia kikatili sherehe ya harusi Gaza huku shirika mashuhuri la haki za kiraia...
21 Dec 2025, 21:07
IQNA-Mashindano ya 27 ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu yameanza nchini Saudi Arabia.
21 Dec 2025, 21:03
IQNA-Wakipita njia zilizozungukwa na majengo yaliyoharibiwa na vifusi, wanafunzi Wapalestina wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Gaza wiki hii wamerudi darasani...
21 Dec 2025, 21:00
IQNA--Katika kipindi cha wiki hii cha televisheni ya Qur’an nchini Misri, Dawlat al-Tilawa, sehemu maalum ilitengwa kumuenzi marehemu Qari mashuhuri Sheikh...
21 Dec 2025, 20:56
IQNA-Wawakilishi wa Iran walikuwa miongoni mwa washindi wakuu katika mashindano ya nne ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu yaliyofanyika Bangladesh.
21 Dec 2025, 20:53