Sheikh Sabati ambaye ni mwalimu wa Qur'ani karibuni na mji mkuu, Algiers, amefanikiwa kushiriki katika mashindnai ya kitaifa na kimataifa na kupata zawadi kadhaa.
Qarii huyu maarufu aliiwakilisha Algeria katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran mwaka jana. Ifuatayo hapa chini ni klipi yake ya qiraa ya Tarteel ya Qurani Tukufu ambapo anasema aya za 30 hadi 41 za Sura al Anbiya.