TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina amesoma Qur'ani Tukufu katika Msikiti wa Hagia Sophia huko Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3475206 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04
TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Ahmed Ahmed Noaina alitembelea Bangladesh mwaka 2016 ambapo alishiriki katika mahafali kadhaa za Qur'ani.
Habari ID: 3474007 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/15
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuoneysha qarii maarufu wa Misri, Sheikh Ahmed Ahmed Noaina akisoma Qur'ani Tukufu akiwa amevalia barakoa.
Habari ID: 3473584 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23
TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni, Televisheni ya Qur'ani ya Iran ilirusha hewani qiraa ya qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Ahmed Ahmed Noaina.
Habari ID: 3473402 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/28
TEHRAN (IQNA) – Qarii marufu wa Misri Sheikh Ahmed Ahmed Noaina hivi karibuni alisoma baadhi ya aya za Surat Al-Muzzammil
za Qur'ani Tukufu kwa pumzi moja.
Habari ID: 3472992 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23
TEHRAN (IQNA) – Qiraa ya hivi karibuni ya Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri Sheikh Ahmad Ahmad Al Nuaina aliposoma aya katika Sura za A-Duha na Al-Inshirah.
Habari ID: 3472937 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07
Maqarii wa Qur'ani kutoka pembe mbali mbali duniani hasa Misri wanaendelea kuomboleza vifo vya maqarii wawili mashuhuri wa Iran waliokuwa wakitekeleza ibada ya Hija katika eneo la Mina karibu na mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3372181 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27