iqna

IQNA

ghana
Wanaharakati watatu katika nyuga za dini, elimu na uchapishaji wanatazamiwa kushiriki katika Tamasha la 14 la Kimataifa la mjukuu wa Mtume SAW, Imam Ridha AS.
Habari ID: 3470513    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/10

Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Ghana anatoa darsa za tafsiri ya Qur'ani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470378    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12

Serikali ya Ghana imewajengea polisi nchini humo msikiti wao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na kujifunza Kiislamu.
Habari ID: 3470365    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07

Maulamaa Waislamu Ghana
Maulamaa wa Kiislamu nchini Ghana wametangaza msimamo wa kupinga vikali kundi la kigaidi la Daesh au ISIS na kutoa wito kwa vijana nchini humo kuisoma na kufahamu ipasavyo tafsiri ya Qur'ani kwa njia sahihi ili wasitumbukie katika mtego muovu wa ISIS.
Habari ID: 3360612    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/08

Shule ya Qur'ani na Sayansi za Qur'ani imefunguliwa nchini Ghana kwa hisani ya Taasisi ya Sheikh Eid ya Misaada ya Qatar.
Habari ID: 3349417    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/20

Rais John Mahama wa Ghana amesema wanawake Waislamu nchini humo wana haki ya kuvaa vazi la Hijabu.
Habari ID: 2930968    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05