iqna

IQNA

khalifa
Mapambano ya watu wa Bahrain
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini wa Bahrain, Sheikh Isa Qassim amesisitiza kuendelea kwa njia ya Jihad na mageuzi katika nchi hiyo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3476266    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/18

Tafakari
TEHRAN (IQNA) – Kwa mtazamo wa Qur’ani Tukufu, wanadamu ni bora kuliko viumbe wengine kutokana na akili na hekima zao na ni kwa ajili ya sifa hii, miongoni mwa nyinginezo, ambapo mwanadamu amechaguliwa kuwa khalifa wa Mwenyezi Mungu duniani.
Habari ID: 3475570    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/02

Shakhsia katika Qur’ani/1
TEHRAN (IQNA)- Adamu (AS) ndiye baba wa jamii ya sasa ya mwanadamu na halikadhalika alikuwa Nabii kwa kwanza. Mwanadamu wa kwanza ndiye aliyekuwa Nabii wa kwanza ili mwanadami asiachwe kamwe bila mwongozo.
Habari ID: 3475530    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/23

Qur'ani inasema nini / 2
TEHRAN (IQNA)- Wakati Mwenyezi Mungu SWT alipomuumba mwanadamu, alimfanya kuwa Khalifa au msaidizi wake katika ardhi.
Habari ID: 3475280    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini Bahrain amewataka watawala wa nchi hiyo kuwaachilia huru mara moja wafungwa wote wa kisiasa nchini humo.
Habari ID: 3474109    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/17

TEHRAN (IQNA) – Watu wa Bahrain wameandamana katika mji mkuu, Manama, Ijumaa jioni wakitaka wafungwa wa kisiasa waachiliwe huru.
Habari ID: 3473779    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/03

TEHRAN (IQNA)-Bunge la Umoja wa Ulaya limepasisha azimio ambalo limeitaka Bahrain isitishe mara moja ukandamizaji wa haki za binadamu za wanaharakati na wafungwa wa kiitikadi nchini humo.
Habari ID: 3473728    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/12

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema kuwa dhulma na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa ukoo wa Aal Khalifa dhidi ya taifa la Bahrain umeifanya nchi hiyo kuwa sawa na gereza kubwa
Habari ID: 3473533    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/07

Utawala wa Kifalme Bahrain umekivunja chama cha Kiislamu cha al-Wefaq ambacho ndio chama kikuu cha upinzani nchini humo.
Habari ID: 3470461    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18

Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umevuna Jumuiya ya Qur'ani nchini humo kwa madai kuwa eti imekiuka sheria.
Habari ID: 3470399    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20

Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu nchini Bahrain wamesema kupigwa marufuku gazeti pekee la kujitegemea la al-Wasat nchini humo ni ukiukaji wa uhuru wa kutoa maoni.
Habari ID: 3341173    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/11

Mahakama ya Bahrain imemuhukumu Sheikh Ali Salman, Katibu Mkuu wa chama cha Kiislamu cha al Wifaq kifungo cha miaka minne jela, baada ya jaji mkuu kutupilia mbali dai lililotolewa na wakili wa kiongozi huyo wa kisiasa na kidini kuhusiana na ushahidi wa uongo uliotolewa dhidi yake.
Habari ID: 3315303    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/17

Askari wa Bahrain wamewashambulia wananchi waliokuwa wakiandamana kwa amani kwa mnasaba wa kumbukumbu ya uingiliaji wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Bahrain, wananchi wa Bahrain wamejitokeza mitaani kulalamika na kupinga kuwepo vikosi vamizi vya Saudi Arabia katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3001292    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/17

Ayatullah Sheikh Issa Qassim Kiongozi mkubwa wa kidini nchini Bahrain ametoa wito kwa wananchi wa nchi hiyo kuendelea kusimama kidete na kukabiliana na changamoto kubwa zinazowakabili ikiwemo dhulma inayofanywa na utawala wa kifalme wa nchi hiyo wa Aal Khalifa.
Habari ID: 2612719    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/29