IQNA

Wapalestina Waswali Ijumaa ya Kwanza ya Ramadhani katika msikiti uliobomolewa + Video

IQNA- Katika harakati inayoashiria istiqama, Wapalestina katika Ukanda wa Gaza siku ya Ijumaa walishiriki katika sala ya kwanza ya Ijumaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Machi 15 katika eneo lenye mabaki ya Msikiti wa Rafah ambalo ulibomolewa hivi karibuni katika hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Kishikizo: ramadhani ، gaza ، palestina ، msikiti
Habari zinazohusiana