Kwa kawaida katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mitaa ya Misri hupambwa kwa taa na vitambaa maandishi ya 'Ramadhan Karim' na pia kunaandaliwa futari kwa ajili ya wasiojiweza katika misikiti. Hatahivyo mwaka huu kutokana na kuibuka ugongjwa wa COVID-19 hali ya Ramadhani ni tafauti ikilignaishwa na miaka iliyotangulia.