iqna

IQNA

barakoa
Janga la COVID-19
TEHRAN (IQNA) - Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miezi 28, Waislamu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wanaweza kusali bila barakoa huku wakuu wa afya wakitangaza kuondolewa kwa takriban vizingiti vyote vya COVID-19.
Habari ID: 3476061    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/09

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani nchini Misri, Sheikh Abdul Fattah Taruti amesoma Qur’ani Tukufu akiwa amevaa barakoa .
Habari ID: 3472906    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/28