IQNA

Misri yaanzisha Mashindano ya Taifa ya Televisheni Kutafuta Maqari wenye  vipaji

Misri yaanzisha Mashindano ya Taifa ya Televisheni Kutafuta Maqari wenye vipaji

IQNA – Misri imetangaza mashindano makubwa zaidi ya taifa ya televisheni yenye lengo la kugundua vipaji vipya vya usomaji wa Qur’ani.
08:39 , 2025 Aug 17
Mkuu wa ACECR: Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu yadhihirisha umuhimu wa Diplomasi ya Qur’ani:

Mkuu wa ACECR: Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu yadhihirisha umuhimu wa Diplomasi ya Qur’ani:

IQNA – Kiongozi wa Akademia ya Iran ya Elimu, Utamaduni na Utafiti (ACECR) amesema kwamba programu kama Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi Waislamu huchangia katika elimu ya kizazi kipya na kuimarisha diplomasia ya kitamaduni kupitia Qur’ani Tukufu.
08:31 , 2025 Aug 17
Jaribio la kigaidi la kuchoma moto Chumba cha Sala cha Waislamu mashariki mwa Ufaransa

Jaribio la kigaidi la kuchoma moto Chumba cha Sala cha Waislamu mashariki mwa Ufaransa

IQNA – Mamlaka za Ufaransa zimeanzisha uchunguzi kufuatia jaribio la kuchoma moto chumba cha kusalia cha Waislamu mjini Châtillon-sur-Seine, tukio ambalo maafisa wamelilaani kuwa ni kitendo cha kigaidi cha uoga na chenye chuki dhidi ya Uislamu.
16:56 , 2025 Aug 16
Wamalaysia watumia  njia ya heshima ya kuweka mbali Misahafu iliyochakaa

Wamalaysia watumia njia ya heshima ya kuweka mbali Misahafu iliyochakaa

IQNA – Jimbo la Sarawak, Malaysia limeanzisha mbinu rafiki kwa mazingira katika kuheshimu na kuondosha nakala zilizochakaa za Misahafu au Qur’an Tukufu.
16:48 , 2025 Aug 16
Zaidi ya Wafanyaziyara milioni 21 Washiriki matembezi ya Arbaeen Iraq

Zaidi ya Wafanyaziyara milioni 21 Washiriki matembezi ya Arbaeen Iraq

IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni 21 wameshiriki katika ziara ya Arbaeen mwaka huu nchini Iraq, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na haram ya Abul-Fadhlil Abbas (AS).
16:40 , 2025 Aug 16
Jaji Muirani asifu Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an ya Malaysia

Jaji Muirani asifu Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an ya Malaysia

IQNA – Mtaalamu wa Qur’ani kutoka Iran, Gholam Reza Shahmiveh, amepongeza historia ndefu ya Malaysia katika kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani, akiyataja kama mfano wa kitaalamu na utambulisho wa kitamaduni.
16:29 , 2025 Aug 16
Turathi za Qur’ani za marehemu Qari Farajullah Shazli zahifadhiwa katika Idhaa ya Qur’an ya Misri

Turathi za Qur’ani za marehemu Qari Farajullah Shazli zahifadhiwa katika Idhaa ya Qur’an ya Misri

IQNA – Mkusanyiko wa turathi za kitamaduni na kazi binafsi za Qur’an za Marehemu Sheikh Farajullah Shazli, mmoja wa maqari mashuhuri wa Misri, umewasilishwa kwa Idhaa ya Qur’an ya nchi hiyo.
15:43 , 2025 Aug 16
Sauti | Tilawa ya Sayyid Jawad Hosseini ya aya za Suratul-‘Āli ‘Imrān

Sauti | Tilawa ya Sayyid Jawad Hosseini ya aya za Suratul-‘Āli ‘Imrān

IQNA-Tilawa ya Qur’an Tukufu iliyosomwa na Qāri’ mashuhuri wa kimataifa, Sayyid Jawad Hosseini, ya Aya za 189 hadi 194 za Suratul-‘Āli ‘Imrān na pia Aya za mwisho za Suratul-Fajr, kama ilivyosomwa katika mahafali ya Qur’an ndani ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (ra), sasa inawasilishwa kwa hadhira ya wasikilizaji wa IQNA.
15:13 , 2025 Aug 16
Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Makkah zakamilika

Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Makkah zakamilika

IQNA – Raundi ya mwisho ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na Kufasiri Qur’ani Tukufu imemalizika Alhamisi katika Msikiti Mtukufu wa Makkah.
21:04 , 2025 Aug 15
Wizara ya Wakfu ya Morocco ina mpango ya kutoa mafunzo kwa maimamu 48,000

Wizara ya Wakfu ya Morocco ina mpango ya kutoa mafunzo kwa maimamu 48,000

IQNA – Wizara ya Wakfu na Mambo ya Kiislamu ya Morocco imetangaza mpango mkubwa wa miaka mitatu wa kuwapa mafunzo mapya maimamu 48,000 wa misikiti kote nchini.
20:57 , 2025 Aug 15
Uwezo wa Kiustaarabu wa Arbaeen Wazidi Kudhihirika Kila Siku

Uwezo wa Kiustaarabu wa Arbaeen Wazidi Kudhihirika Kila Siku

IQNA – Uwezo wa kiustaarabu na wa kujenga taifa ulio ndani ya matembezi n a ziyara yakila mwaka ya Arbaeen unazidi kudhihirika kadiri siku zinavyosonga, amesema kiongozi mwandamizi wa kidini kutoka Iran.
20:46 , 2025 Aug 15
Wafanyaziara Milioni nne wamefika Iraq kushiriki hafla ya Arbaeen

Wafanyaziara Milioni nne wamefika Iraq kushiriki hafla ya Arbaeen

IQNA – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kuwa wafanyaziara wa kigenizaidi ya milioni 4.1 wameshiriki katika ziara ya mwaka huu ya Arbaeen.
20:31 , 2025 Aug 15
Rais wa Misri ahimiza ustawishaji wa tovuti ya Idhaa ya Qur’an Tukufu

Rais wa Misri ahimiza ustawishaji wa tovuti ya Idhaa ya Qur’an Tukufu

IQNA – Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri amesisitiza umuhimu wa kuendeleza tovuti ya kimataifa ya Idhaa ya Qur’an Tukufu ya nchi hiyo.
20:16 , 2025 Aug 15
Maadhimisho ya Arbaeen yadhihirisha umoja na msimamo wa Waislamu Dhidi ya Dhulma

Maadhimisho ya Arbaeen yadhihirisha umoja na msimamo wa Waislamu Dhidi ya Dhulma

IQNA – Katika ziara ya Arbaeen, Waislamu hukusanyika kwa mshikamano ili kufikisha ujumbe wa pamoja wa kusimama imara na kudai haki, amesema afisa wa Kiirani.
23:09 , 2025 Aug 14
Maadhimisho ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS) yavutia mamilioni ya Waislamu

Maadhimisho ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS) yavutia mamilioni ya Waislamu

IQNA-Mamilioni ya Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia wamekusanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha Arbaeen au Arubaini ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW).
22:51 , 2025 Aug 14
1