IQNA

Utawala haramu wa Israel walenga misikiti katika hujuma dhidi ya Gaza

GAZA (IQNA) - Tangu kuanza kwa mashambulizi ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza tarehe 7 Oktoba, utawala huo dhalimu umeshambulia kwa mabomu na kuharibu misikiti saba katika eneo hilo la Palestina lililozingirwa.

Habari zinazohusiana